Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE KIGAMBONI GEZA
*UKUBWA NI SQUARE METER 2000
*INA VYUMBA VITATU VYOTE NI MASTER
*DINNING, SITTING ROOM YA KISASA, STOO, PUBLIC TOILET
*HATI MILIKI YA ARDHI
*BEACH NA NYUMBA ILIPO NI MITA 100 TU
BEI MILIONI 500 TU ๐
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE โ๏ธ๐ฒ 0753999903