Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI
<> location geza juu
<> nyumba ina vyumba vitatu vya kulala viwili ni master sebule dining na jiko mpya
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric fenced
✅nyumba ina mazingira mazuri
✅nyumba iko jirani na barabara
✅nyumba mpya na ya kisasaa
<> ukubwa wa eneo ni sqm 600
<> nyumba Ina hati kamili ya wizara
<> bei yake ni tsh,, million 220 mazungumzo yapo
◾️mawasiliano / Piga simu
✅0628505896
✅0763954837


















