Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kilimanjaro


OFA!! OFAA!! OFAAA!!!
NYUMBA INAUZWA KILIMANJARO WILAYA YA HAI
LOCATION; Bomang'ombe Kilimanjaro, Kwa Wasomali.
Nyumba ipo mita 150 Toka barabara Kuu Ya kuelekea Arusha - Moshi,
Nyumba haijakamika kabisa, ni ya kufanyia finishing.
Huduma zote za kijamii Zipo kama Maji, Umeme, barabara etc.
-Kiwanja kina atua 35 urefu
upana 15
-Nyumba Ina vyumba 3 ikiwemo master 1
-Ina jiko
-ina choo Cha wote
-Na sebule kubwa
Bei Ni Milioni 17 tuu!!
Kwa maelezo zaidi nichek 0753146004