Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 01/03/2025 KUONA MALIPO RUKSA INAFAULISHWA 
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#DAINING
#PUBLICK TOILET
#GARDEN SAFI 
#PAVING BLOCKS
#ALUMINIUM SLAIDING WINDOW 
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#PARKING SPACE YA KUTOSHA 
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 700,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336




















