Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







INAUZWA ,NYUMBA INAUZWA (MILIONI 85
------------------------------
KIMARA SUKA
Umbali: KWA MIGUU DK 8
(MITA 400 KUTOKA LAMI)
_________________________
MUUNDO
PAGALE LINA VYUMBA VITATU VYA KULALA SEBULE & DINNING JIKO
SERVANT COTER
HUDUMA
ZOTE ZA KIJAMII ZIPO
UKUBWA WA KIWANJA NI 25 KWA 30 - SQR METER 750
BEI; 85,000,000/=TZS
INAUZWA MILIONI 85, ASILIMIA 10 UBAONI
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 30,000/=