Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







PAGALE LINAUZWA BEI MSELELEKO KUTOKA ML 28 HADI MILLION 25 NA MAZUNGUMZO YAPO
.
ILI PAGALE LINAUZWA
.
LIPO KIMARA SUKA
.
UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
.
NA UMBALI WA DK 1 KUTOKA BRBR YA BAJAJI ZA KWENDA GOLANI
.
BARABARA YA ZEGE IMEBAKIA KAMA MITA 50 TU IFIKE APO SAITI NA MKANDARAS YUPO SAITI ANAENDELEA NA UJENZI WA BARABARA
.
π₯ILI PAGALE LINA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA NA
PUBLIC TOILET
.
UKUBWA WA KIWANJA NI MITA 12 KW 15
.
π°BEI NI MILIONI 25 MAZUNGUMZO YAPO
.
USIOGOPE BEI NJOO SAITI MWENYEWE ANA SHIDA NA ELA
.
SERVICHAJ ELFU 25
.
CONTACT#0625606710