Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI, VYUMBA 3, TSHS.40 KITUNDA-NYANGASA.
Hapa ni Gari moja tu kufika Mjini.
Na ni jirani na Kituo cha Daladala.
Nyumba Ina jumla ya Vyumba 3 (Masta 1)
Pia Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.650.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona gharama yake ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.