Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YAKUMALIZIA UJENZI,TSHS.44 MILIONI, KIVULE-MISITU.
Kiwanja SQM.420.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hapa ni Gari moja tu kufika Mjini,
Pia ni Jirani na Kituo cha Daladala.
Huduma za Umeme na Maji zipo ndani tayari.
Vyumba 3 (Masta 1)Pia kuna Sebule,
Jiko,Dining-room,Store na
Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
___________mskv