Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana inauzwa:
Vyumba vi 3 kimoja masta
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo- sqm 500
Kumepimwa Hati bado
Bei-ml 160 maongez
Location- madale
Umbali-mita 500 kutoka main road
Karibuni
Call/WhatsApp 0745488000