Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam
Nyumba ya kurekebisha inauzwa:
Nyumba ipo barabara ya mtaa na mtaa ni mzuri sana
Nyumba inavyumba vi 3 kimoja masta
Dirning sitting jiko stoo public toilet maji dawasco
Eneo- sqm 300+
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 25,maongez
Location- madale,center,,wasaliana Nas kwa no *#0652407997📲📲🇹🇿🇹🇿🇹🇿whatsp0767427997
Karibuni