Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam


M 170. 0759151524
Nyumba mpya kali sana inauzwa:
Room 3 moja self
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo-sqm 598
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 170 maongezi
Location- madale flamingo
Umbali-km 1 kutoka main road madale flamingo
Angalizo: hii nyumba hairuhusiwi kupostiwa Instagram, Facebook , Tiktok na kwingineko, atumiwe mteja tu au dalali mwenye mteja
Karibuni
0679 956 863
0759151524