Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Makongo, Dar Es Salaam


šApartment Kali sana inatazama na lami
šLocation MAKONGO
.
šBei million 1.6
.
šIna vyumba vitatu vikubwa kimoja masterbedroom full Ac & heater makabati yanguo, sebule kubwa , dinning na jiko lakisasa
.
šElectric fence, parving blocks na parking Kubwa sana
.
Servichaj elfu 20
.
Contact
0742260844