Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAUZWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-----
INA VYUMBA 3 VYA KULALA, SEBULE, JIKO NA PUBLIC TOILET INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YAPO 24HRS
----------
HAINA FENSI IMEMALIZA ENEO BARABARA INAFIKIKA VIZURI MPAKA HAPO.
UKUBWA WA ENEO
SQM 109
BEI MILIONI 50
ENEO LIMESHAPIMWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347