Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 58 TU
MAONGEZI NJOO SITE UKAGUE NYUMBA UKILIZIKA TUTA ONGEA NAE MWENYEWE ANA SHIDA
NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MAGENGENI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA DOVYA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
ENEO SQUARE MITER ⬛️ 340
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE 🏬 YA SILIKALI YA MTAA
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 2 TU
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175 0652 618 143 📞



















