Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA BINAFSI
Bei milioni 95 maongezi yapo
Ipo Mbagala chamanzi kwa mapunda - Dar es salaam - Tanzania
Ina Vyumba Vitatu vya Kulala, kimoja master
Sitting room
Dinning room
Kitchen
Store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: 1300 sqm eneo limepimwa kabisa, Hati iko mbioni kutoka
Gharama za kutembelea site 30k
Tuwasiliane Whatsapp +255 658 582 977, call +255 784919453
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇