Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 58 TU
IPO MBAGALA CHAMAZ MAGENGENI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA DOVYA
VYUMBA VIPO VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
ENEO SQUARE MITER 340
INA DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 2 TU
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP
0759 203175 0652 618 143 📞


















