Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







Nyumba Nzuri Sana Inauzwa Tsh Million 115 tu
Ni nyumba Mpya
Nyumba Ipo Mbagala ChamazJiji la dar es salaam Wliaya ya temeke kata ya Chamaz mtaa wa msufini
Vyumba vipo vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom
Ina stting room na Dining room Ina jiko na store Ina public toilet ๐ป Ina maji kisima umeme, Electric Fance
Njoo ๐โโ๏ธโโก๏ธ boss wangu nkuzie hii nyumba nzuri sana BEI MILION 115 Maongezi Yapo



















