Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI BEI MILIONI 90
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET UMEME MAJI NK
UMILIKI π SALEAGREEMENT ENEO SQMT 400
MAONGEZI NJOO NIKUKUTANISHE NA MUUZAJI βοΈ