Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI MBEZI MWISHO MSAKUZI - (MILLION 65)
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa(Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 500
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo (Pia Kuna Kisima Cha Maji Safi)
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 65 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
.
.
.
.
.
.
.
.
#daressalaam #diamondplatnumz #tanzania #hajimanara #simbasc #yangasc #mwanza ##agency #house #deco #residential