Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam






Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho mshikamano
Ina vyumba vitatu
Sebure
Dinning
Jiko
Master
Public
Nyumba ndani ina tyliz kote kasoro store tu na gypsum kote wameshafunga
Documents Hati ya mauziano Serikali za mtaa
Bei million 55
PIGA SIMU
O746 433 854