Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA ZURI SANA INAUZWA BEI YA KUTUPA KABISA
LOCATION:MBEZI MSUMI (KWA BUNDARA)
BEI YAKE:MILION 28
MAHUZIANO:SERIKALI YA MTAAA
SIFA NYUMBA
🥕VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
🥕SEBURE KUBWA
🥕JIKO KUBWA
🥕TOILET PUBLIC
🥕UMEME UMESHAWEKWA
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0782428327