Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA I N A U Z W A
BEI: MILLION 64
ILIPO: MBEZI MALAMBA MAWILI
✅ NYUMBA INA SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VYOTE NI SELF-CONTAINED, JIKO, NA CHOO CHA PUBLIC
✅NYUMBA INA ENEO KUBWA
✅ NYUMBA INA HATI YA SERIKALI YA MTAA
✅ NYUMBA IPO MTAA MZURI NA UMEJENGEKA NA HAIPO MBALI NA KITUO CHA DALADALA
KUPELEKWA NI 30K
☎️0788077337 ☎️0625637254