Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
◇KIWANJA CHENYE NYUMBA Kinauzwa milioni 130 Maongezi yapo 📍Kipo Mbezi mwisho Centar
*Distance* Mita 100 kutoka Barabara ya lami
-Nyumba ia vyumba 3 vya kulala, master bedroom 1, sitting room, dinning room, kitchen na public toilet
-Ndani ya Kiwanja kuna Servant Quarter mbili za chumba sebule na chumba kimoja single.
-Plot size Sqm 1590
◇Pia panafaa sana kwa Apartments, Hotel, Lodge,Guest Houses Nk
◇ Ukiwa kwenye kiwanja stendi ya Magufuli bus terminal inaonekana vyema sana
-Document; Clean TITTLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
*Bei shilingi milioni 130 maongezi yapo*