Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAUZWA – MBEZI MWISHO 🏡
Fursa adimu ya kupata nyumba bora kwa makazi ya familia au uwekezaji! ✨
🔹 Sifa za Nyumba:
🛏️ Vyumba 3 vya kulala (kimoja Master Bedroom)
🛋️ Sebule kubwa na ya kisasa
🍽️ Dinning area
🍳 Jiko lenye makabati
📦 Store
🚻 Public toilet
🏠 Boy’s Quarters yenye vyumba 2
🌳 Eneo kubwa lenye Garden nzuri
📄 Hati ipo tayari
🛣️ Inafikika kirahisi bila shida
💰 Bei: TSh Milioni 160
🤝 Udalali: 10%
🧾 Service Charge: 30,000/=
📞 Muhitaji Piga: +255 688 412 890
👉 Usikose nafasi hii! Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi au kuja kuona nyumba 📲✨



















