Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Nzuguni, Dodoma


NYUMBA INAUZWA NZUGUNI B JIRANI NA CHUO CHA TRACDi JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 670 sq.m
Ina vyumba vitatu
Master bedroom
Sebule, Dining
Jiko, Store
Public toilet
Ina fensi upande mmoja
Bei ni Tshs. 25,000,000/= ( milioni ishirini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"