Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Soweto, Kilimanjaro







Nyumba inauzwa ipo kifuru soweto
Ina vyumba vitatu
Sebure
Jiko
Choo
Master
Public
Ukubwa wa eneo sqm 400
Documents hati ya mauziano Serikali za mtaa
Bei million 45 maongezi yapo
Service charge 30,000