Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba Nzuri Inauzwa
Tabata Kinyerezi Shule
✅️Nyumba ina vyumba vitatu
Kimoja master
✅️Viwili vya kawaida na public toilet..
✅️Dining kubwa na sebule
✅️Umeme upo
✅️Ipo ushuani na barabara ipo vizuri sanaa
✅Maji ya kisima yanapandishwa na umeme..
✅️Nje kuna fremu 5
✅ full fenced
✅️Sq.1000
✅ Bei: Mil 400 (Maongezi)
✅Hati Miliki Ya Wizara Ipo
Call 📞 0745111333