Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA UKONGA MOMBASA BOMBAMBILI - ILALA MUNICIPALITY 
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Flem Ya Biashara Nje 
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa 
Ukubwa Wa Eneo: SQM 375
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo 
Bei : 35 Million 
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=



















