Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buyuni, Dar Es Salaam







Nyumba Inauzwa Milioni 67 Ipo Buyuni Taliani Chanika Manispaa ya Ilala Dar es salaam.
0759128747 0712058757
0624436503 whatsapp
Vyumba 3 Kimoja ni master Sitting room jiko Dining room na Public Toilet. Nyumba Ina Umeme na Maji safi. Kiwanja Sqm. 850 Hati ya Mauziano ofisi ya serikali ya Mtaa.




















