Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA 3,TSHS.25 MILIONI,CHANIKA MAGENGE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kuna vyumba 2 vilivyokamilika.
Cha Tatu ni cha pembeni na ni cha kumalizia.
Ni jirani na Kituo cha Daladala,
Kufika Mjini unapanda Gari moja tu.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
MUNGU AKUPE NINI?
WAHI UJIKOMBOE.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv



















