Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba kwandambi, Dar Es Salaam (2000 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
2000 SQM
Sifa
Maelezo
✍Millions 450 maongezi yapo
✍Ukubwa wa plots Square meters 2000
✍Location Goba kwandambi
✍Kiwanja chapili kutoka lami kina nyumba ndani
✍Muundo wa nyumba vyumba vitatu vyakulala
✍Sebule
✍Jiko kubwa
✍Dining room
✍public toilet na
✍stoo
✍Panafaa kwa uwekezaji wa Apartments lorge nahata kuishi n.k
✍Service charge 50,000/=
✍Call No 0687800334 / 0714765041
✍Dalali J Fani plots & Apartments 🙏




















