Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya Madukani, Pwani (700 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Ukubwa
700 SQM
Barabara ya Karibu
1km — Morogoro Road
Sifa
Maelezo
Nyumba inauzwa
Ipo kiluvya madukani, umbali 1km toka morogoro road
Bei tsh mil 60 maongezi
Plot size:sqm 700
Vyumba 3 vya kulala
Kimoja master
Sitting
Dinning
Kitchen
Public toilet
Fenced
Maji na umeme vipo
Nje kuna mabanda ya kufugia kuku
Pia kuna servant kota ya chumba kimoja cha nje



















