Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya, Pwani


Nyumba inauzwa
Ipo kiluvya madukani, umbali 1km toka morogoro road
Bei tsh mil 60 maongezi
Plot size:sqm 700
Vyumba 3 vya kulala
Kimoja master
Sitting
Dinning
Kitchen
Public toilet
Fenced
Maji na umeme vipo
Nje kuna mabanda ya kufugia kuku
Pia kuna servant kota ya chumba kimoja cha nje



















