Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiseke B, Mwanza


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Huduma na Sifa
Maelezo
Ni two in one..
Kila nyumba inavyumba vitatu sebule jiko stoo nk
Pia kila nyumba inampangaji anayelipa kodi ya 3.5m kwa mwaka..jumla ya kodi nyumba zote mbili ni milioni 7 kwa mwaka..
Nyumba ipo kiseke b jijini Mwanza..
Ni nyumba ya pili kutoka lami
Inauzwa milioni 150 tu! Pesa faster
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711



















