Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule-Msongola, Dar Es Salaam (480 sqm)


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Ukubwa
480 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA KALI BEI RAFIKI,TSHS.62 MILIONI,KIVULE-MSONGOLA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 480.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
KUFIKA MJINI KUTOKA HAPA NI GARI MOJA.
Nyumba nzuri ya kisasa ndani ya Fensi.
Vyumba 3 (Masta1 )
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
NI NYUMBA YAKUHAMIA.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mskv



















