Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen nyumba umeme upo Maji yapo nyumba ina boikota ya vyumba 2 kimoja masta sitingroom nyumba umeme upo Maji yapo bei ml 160 nyumba ina hati ya serekari ya mtaa ukubwa wa kiwanja 400 nyumba MPYA CALL 0683491594,0716974073




















