Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA YAKUMALIZIA, VYUMBA 3,TSHS.30 MILIONI,MBEZI/MPIJI MAGOE.
Eneo ni MKOMBOZI,
BAADA TU YA DARAJA LA JESHI..
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 420.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 vya kulala (Masta 1)
Pia kuna Sebule,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ni ya kufanyia FINISHING tu,
Ikiwemo ya Ukuta ambao nao
umeshaanzwa.kujengwa.
Gari inafika hadi ndani.
Hiduma za Umeme na Maji zipo jirani.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mpg



















