Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Apartment Inapangishwa:
Location :: Goba mageti
Bei yake :: 600,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitatu(vyote ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko kubwa
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
0782428327