Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kahama, Mwanza







Apartment house for Rent zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi Funguo Baadae zinaletwa na mpangaji Kahama Kasahau Kaondoka nazo
Location Ubungo External Dakika Chache Kutembea Mpaka Kituoni
Kodi 300000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Room 3 Moja ni Master Bedroom Kubwa
Sitting room Kubwa
Public toilet ndani
Kabati la nguo Chumbani
Jiko Kubwa
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565