Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam
Apartment ipo kariakoo
Kariakoo mtaa WA mafia
Ipo floor ya 2pili no lifth
Inavyumba vitatu kimoja ni master
Sebule jiko choo Cha pablic
Inapangishwa laki 6
Kwa mwezi Kodi MIEZI 6
Mtu atoka tarehe 26 kuona
Na kulipia ruksa
Mawasiliano
#0760097834_call
#0692198834
#0716938128_