Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam


Hii apartment ipo kariakoo mtaa wa Mafia ipo floor ya kwanza no lifth inavyumba vitatu kimoja ni master bedroom kubwa sebule jiko choo cha pablick inafaa kuishi au ofice inapangishwa ml 1 kwa mwezi Kodi miezi 6 mawasiliano
Contact
0625584914


















