Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam
Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Kijitonyama mabatini police
Bei: 700,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Vyumba 3 Kimoja Ni Master
☑️Sebule + Dining Jiko Na Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalali_chiddy_tz
Whatsapp: 0745111333
Call: 0617252263 / 0788262263
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏