Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 4
MAFUNDI WAPO SITE MASAA 24 KUENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA IRUDI KUA MPYA KABISA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 400,000/= X 4,5...NAKUENDELEA
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 MAFUNDI WAPO SITE WANAENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA HII KWA KASI YA 5G
Simu 0757 404087