Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 KIMARA TEMBONI
🕔 UMBALI WA 2KM KUTOKA MAIN ROAD, BAJAJI 1000 MPAKA HAPO.
#SIFAZAKE
💧VYUMBA VITATU, VYOTE MASTER BEDROOMS
💧SEBULE KUBWA
💧JIKO KUBWA
💧CHOO CHA FAMILIA
💧UMEME & MAJI INAJITEGEMEA
💧FENCED CAR PARKING KUBWA
♦️KODI Tsh 450,000/= ×3(MIEZI MITATU)
♦️MALIPO YA DALALI TSH 450,000/=
♦️SERVICE CHARGE Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊