Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

(500,000X6) KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453

dalali_kimara_mbezimwisho_goba
dalali_kimara_mbezimwish_goba
dalali_kimara_mbezimwisho_goba

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

WAHI CHUMBA MASTER KIMARA KOROGWE KILUNGULE KODI 100,000X6 BAJAJI 500 HADI KWENYE NYUMBA TAILS JIPYS...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII INA SIF...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1KUTOKA LAMI -------Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedr...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaaa#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA BUCHA#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWEUmbali wa ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA BARUTIUmbali wa K...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI INAPANGISWA KODI 300,000/= X4,5,6 YOTE INAPOKELEWA LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KA...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA .LOCATION: KIMARA KOROGWE KM1.7 KUTOKA KITUO CHA MWEN...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI INAPANGISWA KODI 300,000X4,5,6 YOTE INAPOKELEWA LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 175,000

APARTMENT FOR RENT 💥 BEI NI 175,000X6🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO # CHUMBA MASTER BEDROOM KU...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

WAHI CHUMBA MASTER KIMARA KOROGWE KILUNGULE KODI 100,000X6 BAJAJI 500 HADI KWENYE NYUMBA TAILS JIPYS...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI INAPANGISWA KODI 300,000X4,5,6 YOTE INAPOKELEWA LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

400,000x6. 0679 956 863 APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,00...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

400,000x6. 0679 956 863 HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #SEBUL...