Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
××/02
APARTMENT INAPANGISHWA
SIFA ZAKE:
✓ 3 MASTER BEDROOMS
✓ SEBURE KUBWA
✓ JIKO
✓ PUBLIC TOILET
✓ PRIVATE LUKU NA MAJI
✓ FENCE
✓ PARKING SPACE KUBWA
LOCATION:
KIMARA TEMBONI, DAKIKA 12 KWA MIGUU FROM MOROGORO ROAD
KODI:
500,000/=TSH × 6
SERVICE CHARGES:
15K KUONA AU 500K UKILIPIA
NOTE:
ITAKUWA WAZI 26- 12- 2024, KUONA NA MALIPO RUKSA
MAELEZO ZAIDI: +255 694 075 761
.