Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(450,000 × 3) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜 𝗣𝗜𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗣𝗜𝗧𝗜𝗔 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗧𝗢𝗣 𝗢𝗩𝗘𝗥
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= × 3
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 13/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
BEI NI 450,000/= × 3,4,5....
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗧𝗢𝗣 𝗢𝗩𝗘𝗥 𝗕𝗢𝗗𝗔𝗕𝗢𝗗𝗔 1000 𝗠𝗣𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗟𝗔𝗡𝗚𝗢𝗡𝗜
📌📌 ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 13/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300