Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI SARANGA SHULE
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 270,000 Kwa mwezi × 6
Ndani ya fence zipo 2 inajitegemea umeme na maji, parking kubwa ya uhakika
Umbali KM 3 kutoka Morogoro Road, Bajaji zinakuacha kwenye nyumba
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167