Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA

#BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

💫💫 APARTMENT HII IPO #KIMARA_MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI

#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5

#USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343

lenardjackson
dalali_kimara_suka_leonard
lenardjackson

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6Chumba cha kulalaChoo ndaniJik...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE10/ 08/2025 KUONA RUKSA#BEI 150K#MA...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 13 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUPELEKWA KUONA NYUMB...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 4💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/07/2025 ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NEW Apartment Classic For Rent ✨️ 📌Zitakuwa Tayari Kuingia 01/08/2025Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

New Apartment for Rent- Master bedroom, sebule & jiko📌 Nyumba ni mpya, ukilipia wanafanya finishing...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT Classic FOR Rent ✨️PRICE: 300,000 × 4/5/6💥 ITAKUA WAZI KUANZIA 31/07/2025 KUONA NDANI RUK...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

OFA OFA OFANYUMBA NI MPYA YA KISASAKODI NI 250,000X6 NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA KORO...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE10/ 08/2025 KUONA RUKSA#BEI 150K#MA...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2.5 KUTOKA LAMI ------Chumba master Seble Jiko la njee Luku...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI DK2 KUTOKA LAMI ZINA KUWA TAYARI TAR.1.8.2025 KU...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI NA BARABARA YA LAMI SAFI ------...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1 KUTOKA LAMI INA KUWA WAZI TAR 30.7.2025 KUONA NA KULIPI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM3 KUTOKA LAMI ------Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedr...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 300,000

Apartment Mpya ZinapangishwaMahali: Kimara MwishoBei: 300,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6Pikipiki 1000 ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

0679 997610 HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE10/ 08/2025 KUONA RUKSA...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA KODI 400,000X6 LOCATION: KIMARA SUKA INA VYUMBA VI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KIDI NI 400,000X4) KIMARA MWISHO 💥 KODI NI Tsh. (400,000\/= × 4) APARTMENT KALI SANA YA KISASA INAP...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO#CHUMBA KIKUBWA#SEBULE NZURI #JIKO ZURI OPEN KITCHEN#CHOO KIZURI ...