Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


900,000 X6 KIMARA TEMBONI UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 5. KWAMIGUU
DK 5
#APARTMENTS #MPYAA KABISAA ZA #KIFAMILIA ZINAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
__
Vyumba 3 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko la nguvu
Ulinzi upo
Maji Dawasa
Ac ndani
Parking
Choo cha familia
Mazingira matamu sana
Umeme luku yako
Hapa zipo nyumba 3 tu
__
Kodi 900,000/= × 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
__
0679 956 863
0781 418 437
0759151524
_
PIGA SIMUUU